
Ommy
Dimpoz amethibitisha kufanya video yake mpya nchini Uingereza chini ya
director ambae amehusika kuzifanya video za mastaa kama Fuse ODG, Wizkid
na Davido ‘skelewu’
Leo Dimpoz ameshea picha za sehemu ya video yenyewe ambazo inamuonyesha akiwa kwenye ulinzi wa askari wa Uingereza.