A

A

Picha Ya Siku,Mtasha akiendelea Kulishughulikia Dafu

Pitapita za Kamera ya Habari Kwanza Blog mitaa ya Ocean Road kwenye Ufukwe wa Bahari,tumekutana na Mtasha huyu akiwa aanalishughulikia Dafu(anakula).Picha na Sanga Festo