Ma ninja he's back#966 Aaaaaah hii ni hatariiiiiiiiiiiiii Km unapenda
kuckia ukweli,, na unajua maana ya #hiphop hii utaielewa sanaaa Km naona
vile wale wanaojifanya ndo wana hiphop wanavyonuna,,, Hahahaha amkeni
nyie mapimbi hiphop sio mafumbo#966 wa2 wanataka #uwazi#ukweli Wanyonge
mwanangu#Roma @roma2030
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako