













Marehmu Musa Madelu alifariki Tar.08/03/2014 baada ya Kuugua Muda Mfupi,Mazishi yake yalifanyika Jana Tar.10/03/2014 Kijijini Kwao Makunda Kata ya Kyengege,Wilaya ya Iramba-Singida.Marehemu alikuwa ni Kaka wa Mh.Mwigulu Nchemba ambaye ni Naibu Waziri wa Fedha na Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara.
Mungu Ametoa,Mungu Ametwaa
Jina la Bwana Lihimidiwe
Amina
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako