Jux na Mrembo
Mwana
muziki wa bongo flava maarufu kwajina la Jux aonekanae kwenye picha na
mrembo moja kitandni hii inasemekana ni shooting ya moja ya video ya
msanii huyo na huyo dada ni video queen ...
Inaonyesha video Itakuwa Kali sana kama wao walivyo wakali Katika Picha.