Master Oscar John
Mimi ni kijana wa kitanzania ambaye nimekulia katika maadili ya
kidini na malezi mazuri ya kifamia, napenda nichukue fursa hii nitangaze
nafasi ya mchumba ambaye kama ata kidhi vigezo vyangu atakuwa ndio mke
wangu wa ndoa. Kifupi mi ni mtaalam wa IT naishi Dar es salaam.
Mchumba ninaye mtaka ni vema awe amekulia malezi ya kidini kwa
sababu mimi ni mcha Mungu na napenda kusali kwa hiyo napenda na yeye awe
hivyo, malezi yangu ni ya dini ya kikristo ni vema na yeye akawa huko
ila itakapobidi anaweza akatoka dini tofauti na mimi, ila itamlazimu
aamie kwenye dini yangu, napenda pia asiwe zaidi ya miaka 24, kwa upande
wa elimu asiwe chini ya kidato cha nne.
Namtanguliza Mungu mbele kwa yeyote ambaye anaona anafaa katika vigezo vyangu ili ambariki kabla hajafanya mawasiliano na mimi.
Kwa mawasiliano na mimi:
Simu: +255 658 044751
oscarjohn777@yahoo.com
Mungu akutangulie wewe utakayeona unafaa kuishi na mimi kama mke na mume.
Asanteni na karibu

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako