A

A

MAKALIO YANGU NDIYO KILA KITU KWANGU, AGNES MASOGANGE


 
Video Queen ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’
VIDEO QUEEN ‘grade one’ Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefunguka kuwa hakuna kitu anakizimikia kwenye mwili wake kama makalio.asogange aliiambia Bongowood kuwa:“Hakuna sehemu ninayoipenda kama makalio, yamekaa vizuri, nayapenda, najidai kupitia sehemu hiyo niliyojaaliwa na Mwenyezi Mungu.”
d