A

A

LIVE KUTOKA KALENGA,MATOKEO YA UCHAGUZI HAYA HAPA

TUPO Live Kutoka Kalenga Kunakofanyika Uchaguzi wa Mbunge wa Jimbo hilo hii leo.
Matokeo ya AWALI nikama Ifuatavyo 

KATA YA IFUNDA Ambapo Chadema ilikuwa hai kiasi chake Matokeo niliyopokea haya hapa.

CCM kura 451,CHADEMA 261 NA CHAUSTA 2
JIMBO LA KALENGA LINA KATA 13,JUMLA YA KATA 11 ZOTE CCM WAMESHINDA BADO KATA 2 TU,MATOKEO HAYA NI LIVE KUTOKA KALENGA HAPA

MCHANGANUO MBALI MBALI WA MATOKEO
 Kata ya nzi kituo cha tanroad 
CCM 142,
CDM 26,
CHAUSTA 
1.KITUO CHA OFISINI A 
CCM 116 
CDM 2,
OFISINI B 
CCM 112,
CDM 34,
CHAUSTA 1.
KITUO CHA NZI SHULE 
CCM 137,
CDM 37,
CHAUSTA3
MWIGULU NCHEMBA ANASEMA HIVI HUKO MITANDAONI "
Mwigulu Nchemba, Chadema wakipata hata nusu ya kura za mgombea wetu, naachia ngazi ya unaibu katibu mkuu"
 KINACHOENDELEA CCM MAKAO MAKUU MKOA WA IRINGA MUDA HUU
 
Tunasherekea muda huu nje ya ofisi ya mkoa ccm iringa muda huu nikiwa na mh mteule mh Godfrey mgimwa.tumeshinda kata zote