Mrembo
Wema Sepetu Akiwa na Baby Wake Diamond leo Asubuhi Uwanja wa Ndege wa
JK , Diamond Anaelekea Nigeria Kufanya Video yake mpya na Pia Kufanya
Collabo Mpya na Wanaigeria pamoja na Waghana...Diamond Ameambatana na
Manager Wake Babu Tale....Have a Nice Trip Brodaaa