A

A

Kwa Kipande hiki cha Video ya Chuna Buzi ya Shilole,Sijui Kama haitafungiwa

Screen Shot 2014-03-21 at 2.31.36 AM 
Tarehe 24/3/2014 ndio siku ambayo full video ya ‘chuna buzi’ kutoka kwa Shilole itaanza kuonekana rasmi kwenye vituo vya TV lakini video hiyo itakua na version mbili, moja ya Internet na nyingine ya TV.
Ni video ambazo zote zimefanywa na Director Nisher kutoka Arusha.
Kuangalia Video Ingia>>CHUNA BUZI