Hili
ni moja ya magari ambayo tumezoea kuyaona kwenye video za muziki za
gharama kubwa lakini pia hata kwenye baadhi ya movie za Hollywood.
Unaambiwa hili ni moja ya magari ya kifahari anayomiliki staa wa soka
Samuel Eto’o ambae anaichezea Chelsea sasa hivi huku akitajwa kuwa staa
wa soka anaeshika namba 3 kwa utajiri duniani akiwa nyuma ya Ronaldo
anaeshika namba 1, na Lionel Messi anaeshika namba 2.
Hizi ni baadhi tu ya pichaz kutoka kwenye video yenyewe hapojuu
ambayo ndio unaweza kulitazama hili gari vizuri hata kumuona yeye
mwenyewe akiliendesha.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako