Hotuba ya Jaji Joseph Warioba aliyosoma kwenye Bunge maalum la Katiba leo
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba akiwasilisha
Rasimu ya Katiba mpya mbele ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba,
bungeni mjini Dodoma Machi 18, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)