Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunya viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?
Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya
polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu
Wasamaria wema wakimtazama meneja huyo chapombe akiwa amezima