Hii hapa Video ya D Knob-Nishike Mkono
Baada
ya kuwa zimetembea teaser pamoja na story nyingi hatimaye imekamilika
ni hii video ya D knob iliyofanywa na E media,kwenye wimbo kashirikishwa
Mwasiti,itumie week end yako kuitazama video hii.
Bonyeza play kutazama.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako