Anuary Sanga "Dj Anu"
Kuna wakati naamini Maneno/Mashairi ya Msanii lady Jd aliyoimba kuhusu Magazeti Pendwa"Udakuz" hususani Gazeti la Ijumaa lisilojua mema ya Mtu.
Yawezekena wahusika wanafanya hivyo ilikucheza na Soko la huduma ya magazeti Nchini bila Kujua kuwa Wanasababisha Majanga kwenye Upande wa Pili.
Wiki iliyopita Gazeti Moja linalotoka kila Ijumaa,Ni Gazeti pendwa lilitoka na Habari Kuhusu Mtangazaji Mkongwe Kijana Nchini Annuary Sanga kuwa ameingia kwenye Mahusiano na Mwanadada anayefahamika Kwa Jina la Sister V.Tukio hilo llilopambwa kwenye Ukurasa wa Nyuma wa Gazeti halikuwa la kweli kabisa kabisa,
Kitendo Kilichopeleka Dj Anu (Anuary Sanga) Kufika Ofisi za Gazeti husika kuomba asafishwe kwa namna alivyochafuliwa na Gazeti hilo Kwasababu limepelekea Misukosuko kwenye Mahusiano yake na Binti wa Linza anayeitwa Anne Linza aliyeko Masomoni Uingereza.

Anne Linza Mchumba wa Anuary Sanga "Dj Anu".
Siku ya Tukio Anuary Sanga alikuwa MC kwenye hafla fupi ya Uzinduzi wa Filamu ya Moja wa wasanii wa Bongo Movie,Wakati Anuary Sanga akiwa kwenye dakika za Mwisho za Kumalizia Hafla,Wasanii kadhaa waliomba kupata Ukodak na MC huyo Kutokana na Kupendezewa na Kazi yake ya U-MC,katika Moja ya watu Msichana huyo Ludovic aliomba naye kupiga Picha na Anuary Sanga,Hapo ndipo wazee/mapaparazi walipombambika Anuary Sanga kuwa anadate na huyo Kimwana.Yawezekena Kwa Maksudi au Kwa Maslahi yao kibiashara waliamua kuandika maneno hayo ambayo hakika si ya kweli.
Anuary anapenda Watanzania na Ndugu zake wapuuzie habari hiyo kwa sababu imelenga Kumchafua yeye kwa Mgongo wa Mtu mwingine ambaye hata hajawahi kutana naye hapo kabla ya Kuomba Kupiga Picha naye.
Anuary anapenda Watanzania na Ndugu zake wapuuzie habari hiyo kwa sababu imelenga Kumchafua yeye kwa Mgongo wa Mtu mwingine ambaye hata hajawahi kutana naye hapo kabla ya Kuomba Kupiga Picha naye.
Anne Linza Kulia(mchumba wa Anuary Sanga).Shukrani Zimwendee Binti Linza kwa kuwa Mwelewa kuhusu tukio hilo na Uzoefu wake na magazeti ya Nyumbani na habari za Kikanjanja.