A

A

DMV YAFANYA MISA YA KUMBUKUMBU NA KUOMBOLEZA KIFO CAROLINE MWAISELAGE DMV.


Misa ya kumbukumbu iliyofanyika siku ya Jumamosi March 22, 2014 College Parka Maryland kwa ajili ya maerehemu Caroline Mwaiselage aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani aliyekutwa na mauati alipokua amekwenda Tanzania march 7, 2014 mwaka huu.
Kushoto ni mume wa marehemu Chris Muhoka na kulia Martin Koroso aliyekuja toka Michigan 
watoto wa marehem,
Mchungaji Mbatta
Mchungaji Kadiolo
Mchungaji Igogo
Mchungaji Shideko
Dr Nicku Mordi
Mchungaji Malekela
Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMB Idd Sandaly.
Mwambata wa Jeshi wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Colonel Adolph Mutta. 
Martin Koroso akitoa shukurani kwa niaba ya familia.
Mshereheshaji Dada Tuma.
Mtoto wa Caroline, Clement akisoma neno.
Mtoto wa Caroline, Michelle akisoma utenzi wa daima watamkumbuka mama yao na kwamba walimpenda sana.
Dada Ndigwako akisoma wasifu wa Marehemu, na yeye ndiye aliyekuwa na watoto wa marehemu wakati marehemu na mumewe walipokwenda Tanzania,
Wachungaji wakiwaombea familia.
sehemu ya umati wa watu.
Benchi la Ubalozi.
Afisa Paul Mwafongo.
Kushoto ni Afisa Suleiman Saleh na Mkuu wa Utawala na fedha wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani Mama Lily Munanka.
Kushoto ni mume wa Balozi wa Tanzania nchini Marekani Bwn. George Mulamula wakiwa pamoja na Mwambata wa jeshi Ubalozi wa Tanzania nchii Marekani na Canada, Colonel Adolph Mutta.