A

A

Chadema yaendelea kuisha,mweneyekiti wa Kata na Vijana Wilaya ahamia CCM

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha  Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha  Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki 


Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu akianyesha kadi ya mwanachama huyo na akiwa anavishwa Tisheti na Katibu Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako