A

A

Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu

Bunge la Katiba: Kamati, Wenyeviti na Makamu

Wajumbe wakipiga kura

Kamati namba 1: Mwenyekiti ni Ummy Mwalimu, Makamu Mwenyekiti ni Profesa Makame Mnyaa Mbarawa.

Kamati namba 2: Mwenyekiti ni Shamshi Vuai Nahodha, Makamu Mwenyekiti ni Shamsha Mwangunga.

Kamati namba 3: M/kiti ni Francis Michael, Makamu ni Fatma Musa Juma.

Kamati namba 4: Mwenyekiti ni Christopher ole Sendeka na Makamu ni Dk Sita Mamboya.

Kamati namba 5:
Mwenyekiti ni Hamad Rashid Mohamed na Makamu ni Assumpter Mshama

Kamati namba 6: Mwenyekiti ni Stephen Wassira na Makamu ni Dk Maua Daftari.

Kamati namba 7:
Mwenyekiti ni Brigedia Jenerali (mstaafu) Hassan Ngwilizi na Makamu ni Waride Bakar Jabu.

Kamati namba 8:
Mwenyekiti ni Job Ndugai, Makamu ni Biubwa Yahya Othman.

Kamati namba 9 Mwenyekiti ni Kidawa Hamid Salehe na Makamu ni William Ngeleja.

Kamati namba 10:Mwenyekiti ni Anna Abdallah, Makamu ni Salim Hawadhi Salim.

Kamati namba 11:
Mwenyekiti ni Anna Killango, Makamu ni Yusuf Hamad Masauni.

Kamati namba 12:Mwenyekiti ni Paul Kimiti na Makamu ni Thuwayba Edington Kisasi.