Hello kwa wale mnaoingilia urafiki wa watu na kutaka kuwaharibia kwa
kusingizia mambo habari ndo hii kutoka kwa madam kuhusu BFF Kajala.
BFF
Muwaache walale jamani.........
Hizi ni baadhi ya comments huko Instagram duh
-
Tishaaaaaaaaaaa
- 1 hour agobintikhaliphSorry maa @new_kajala @wemasepetu
- 1 hour agoframick4Wwwwwww
- 1 hour agomuny18Best friend wud b an understatement. ....sister sounds better
- 1 hour agorwandanprincessDnt mind em @wemasepetu haters will always talk sh*t no matter what..keep lovin each other more and prove them wrong
- 1 hour agofacejeroismaiDuuh
- 1 hour agodirectorjoanNawapenda wote na napenda kuwaona pamoja siku zote mungu awasimamie sana @wemasepetu @new_kajala
- 1 hour agoonlymeruky@kipereto @mwatumu37 @dougiemasta12 nani anamchokoza @wemasepetu Jamaaani Leo tulikuwa naraha zetu but don't worry eveny @new_kajala mkiona hamuishiwi kutukanwa na kuonngelewa mjuwe mnatingisha jiji
- 1 hour agolucyikupaLove u @new_kajala
- 1 hour agowemasepetuShe is more dan jus my best friend.... @muny18 .... sooo true she is my sister.....
- 1 hour agoonlymeruky@dacutie55 ww ndiyo upo karibu na madam nani kamcholoza?
- 1 hour agowemasepetu@rwandanprincess wanaboa mamy....
- 1 hour agowemasepetu@bintikhaliph wanakera mno bwana.... vitu vingine hapana...
- 1 hour agojessesurvivorWakomeeeeee kabisa
- 1 hour agoposhmondShould clement be an issue now? Should it make u mad,? I dont know but I think since u r now in a another relationship maybe u need to b careful about what u say about ur past relationships, it might look like u r still into clement.. well am just thinkin loud... am out.
- 1 hour agomaryakeee@wemasepetu achana nao mumy....my only ombi kwako naomba umfikirie @wemadaily kwenye ofisi yako. Yaani she's doing a great job kwakweli!
- 1 hour agolucyikupa@erjoel12 @ladyhossy @officialjaytimothy @call_me_rahma_zowo
- 1 hour agoonlymeruky@wemasepetu muombeni Mola wenu sana coz mahasidi wamewazunguka kila kona mummy but wengi tunawapenda����������
- 1 hour agohappykadagoPole @new_kajala ...
- 1 hour agomamakibunju01Achana nao my jirani @wemasepetu
- 1 hour agoshukurucostantineKila kukicha nyinyi tu dahhh kweli kazi ipo
- 1 hour agokiperetonani huyoo tena nipe jina nitamfanya kazi sasa hivi @wemasepetu
- 1 hour agobabycandykhalidDah wabongo kwa kutunGa na kuvumisha vitu nawapa SALUTE. Tatizo mamiiiii hawana kazi za kufanya Don mind dem. Napenda mnavyopenda BFF aka Sisters @wemasepetu @new_kajala
- 1 hour agoopallahlock1An empty debe makes the loudest noise and an idle mind is devils workshop. So worry not sister most of these gossips come from empty headed people who has nothing to do but to talk nonses
- 1 hour agodrsemeniSasa Clement wa nin wakat wa Mke wa Mtu still Umebug hapa @wemasepetu
- 1 hour agoopallahlock1An empty debe makes the loudest noise and an idle mind is devils workshop. So worry not sister most of these gossips come from empty headed people who has nothing to do but to talk nonses
- 1 hour agoopallahlock1An empty debe makes the loudest noise and an idle mind is devils workshop. So worry not sister most of these gossips come from empty headed people who has nothing to do but to talk nonses
- 1 hour agokulingaKuja huku @zulnamotion ... watu wamemtibua madam
- 1 hour agolucyikupaWatu bna hata kama ni ushabiki umepitiliza wanabaki clement inahusu kutaka kumuharibia mwenzenu
- 1 hour agoanithakajumbulaDuh! Yn jaman! Pole masikini @new_kajala
- 1 hour agopretty_hawa@thalyaty @mvua_hugnlov @lampedusa_
- 1 hour agowiz_jay@ptmateja shoga umelala naomba uamke unitaarishie bunduki yangu naona watu sasa wanazidi kumuudhi malaika wangu..
- 1 hour agowemasepetu@poshmond very happy in my relationship ryt now na bdo mana nikasema hata kama ingekuwa kweli so wat.... its jus dat watu wana make an issue out of dat.... ndo mana i had to be specific....
- 1 hour agowemasepetu@mamakibunju wanakera yaani.... @opallahlock1 true story
- 1 hour agosamtendeUlivyojieleza hasira za ko hapa umenikera @wemasepetu maana mimi napenda mnavyowavuruga watu akili sasa umeshawapa dawa akili ziwatulie tutaona wapi tena vichaa msalimie chibu sana mwambie nataka nione ndoa na baby girl fastaa ila @new_kajala machine ingine atajibu kwa vitendo yule haongei labda mpaka apate vodka
- 1 hour agobrinahbanksIgnorance is the only thing that can make them understand that you don't have time for their silly games and that's when they will know that they belong to hell
- 1 hour agokipereto@wemasepetu nipe jina la huyo mtu
- 1 hour agowemasepetu@drsemeni nimeongelea hizo mambo wanazosema hao wendawazim sio kwamba nimemuongelea clement.... elewa kwanza ndo uanze kujudge...
- 1 hour agobrinahbanksBe cool and calm my dear @wemasepetu @new_kajala
- 1 hour agokiperetosasa hivi atapata habari yake chezeya kipereto fanya haraka @wemasepetu
- 1 hour agowemasepetu@onlymeruky acha tu binadamu wabaya...
- 58 mins agowiz_jay@matikibokoyao @dougiemasta12
- 58 mins agoincreadiblerweggyLove u wema have no tym wit haters ukiwawaza sana unawapa nafasi much love to u guyz mpka naumwaa @wemasepetu @new_kajala. @diamond_platnumz
- 58 mins agokiperetosometime wabongo wanapenda maneno ya uongo sana ata sijwi kwani lol wapoteze madame wangu @wemasepetu
- 58 mins agokhamees_Dah that's weird, sijui watu watabadilika lini na kuacha create rumors
- 57 mins agodollyzeynatWakwendeeeeeeeeeeeeeeee hao mambulula tyuuuuuuuuu wakuache na ur kajala miaka buku n jero wasiwatie nongooooooo........... My madam @wemasepetu @wemasepetu @wemasepetu
- 57 mins agobrinahbanksSwahili people say kukaa kimya jibu la mjinga and it's been said kama maneno ni dawa basi waachee wamalize dozi @wemasepetu
- 57 mins agodollyzeynat@new_kajala @new_kajala
- 57 mins agokipereto@wemasepetu wewe kaa kimya wataona aibu wenyewe wivu tu unawasumbuwa
- 56 mins agowemasepetuNatamani ningeweza kukaa kimya but nimeshindwa ..... nd wangeona kama nafurahia.... nd sipendi wanavyomtukana kajala.... i had to do this... cause kajala ni mtu wa muhimu sana kwangu... angekuwa ni mtu tu ningekaa kimya but nat kajala.... im sorry kama kuna niliowakera...
- 55 mins agonew_kajala@wemasepetu love u so much my bbf 4 life
- 55 mins agokipereto@dougiemasta12 uko wapi leo ebu amuka uko utajikojolea bure njoo madam kachoka maneno
- 55 mins agojoshy_johEassssyyy madamme....empty vessel always makes noise.....u deserve the best not this bullshits @wemasepetu @wemasepetu
- 54 mins agomimi_kiaraI really hate this situation ya wabongo na kupakazia maneno ya uongo. Kama sio ukweli maneno yasikuumize maana wabongo.lazima tuwazoee... mcxiiuuu serious it sucks.
- 54 mins agodoriceeddy@tabimkude haya pita
- 54 mins agowemalilyI like u wema ...both u n sis kajala....fanyeni yenu ladies...achaneni na maneno yawakosaji. Don b
- 54 mins agodollyzeynatShosti uamke washamvuruga our madam hawa binaadam waloletwa dunian kimakosa @rukieta
- 54 mins agowemadaily@wemasepetu glad u said this mana nimepigwa na butwaa in few minutes thw worls is very strange @new_kajala she realy has a good heart yani somethngs are dissapointng sana
- 53 mins agodollyzeynat@dacutie55
- 53 mins agomimi_kiaraWabongo have nothing to do kukaa kufatilia mambo ya watu na kujua huyu kafanya nn huyu ananini. This is stupidity. Most of them hua wanakua hawana kazi zao ni kufatilia mambo ya watu mjini.
- 53 mins agodougiemasta12haya kuna nini tena jamani @wemasepetu n @new_kajala
- 53 mins agowemasepetu@kipereto achana nao tu maana watakuwa washaona.... dats wat i needed...
- 52 mins agowemalilyDon b bitter to hatterz coz or already better
- 52 mins agowemalilyUr already better
- 50 mins agodougiemasta12ndio maana mie wachamba kila siku sisi wabongo tunapenda sana uzushi @wemasepetu
- 50 mins agomaryam0096Wema u knw what u r doing s ryt and Allah seez u how u value frndshp and I can see t u truly love kajala @wemasepetu
- 50 mins agomaryam0096Wema u knw what u r doing s ryt and Allah seez u how u value frndshp and I can see t u truly love kajala @wemasepetu
- 50 mins agolissusalhaHahahahaha ila dada angu unawapga vitu vya ukweli achana nao wameshazoea kuropoka so wasikuharibie cku cha msingi kaa na mwenzio vizur kama hakuna tatizo maneno yao co traffic kisema yatakuwekea jamu mama co don't care my dada langu
- 49 mins agowemadailyPeople wake up and start writng story of their lives and imagn things that dont exist ... And place the stories kwa maisha ya wenzao like seriously wat went wrong?? @wemasepetu @new_kajala af kay ni mpole sana
- 49 mins agomaryam0096Keep t up my beautful csta @wemasepetu
- 49 mins agodougiemasta12NIPE MUDA NAFANYA RESEACH ZANGU MAKAMADA NITAWAPA HABARI KAMILI WACHA NIINGIE MITAANI @kipereto
- 48 mins agoninahsaidWe fanya yako mamy achana nao
- 48 mins agoposhmond@wemasepetu pole mpenzi... umesema lililo moyoni basi yameisha.. naomba achana na hii ishu ya clement watu watatafuta sababu hapa na kutunga story za ajabu. For the sake of ur new happiest relationship just keep calm. Kajala ni mtu mzima ataelewa tu. Na hakuna mpuuzi yoyote wa kuamini ur bff anaweza akatoka na ur EX. Yes ur EX to make it clear. #wemadiamondforlife
- 48 mins agowemalilyB u guys....wala hata usikasirike da wema...umepitia mangapi....juz b happy Na yoh bestfrend
- 48 mins agomyrah10Wawaache myaka miaaaaaaa
- 47 mins agonautharShe is a swit person n i really admire her.
- 47 mins agoonlymerukyNimesha jua huyo ni yule kizee nimeenda soma mikoment zake nikajua bado anahasira na @new_kajala so wala msimjali @wemasepetu yaaaa fanyeni km hamjamuona
- 46 mins agowemalilyHuyo clement kwani Obama....hz juz sm guy hu got a tittle ot ov
- 46 mins agowemalilyOut ov yo name
- 43 mins agoirenempuyaPole madam wake @wemasepetu n @new_kajala madam tupe jina 2tumuone hyo kidudumtu
- 43 mins agomatikibokoyao@dougiemasta12 jmn jmn yani kunawatu wanajua kutafuta story za uongo wanajua kuongea utumbo jmn sasa mnataka @new_kajala na @wemasepetu wagombane ndio mfurai na roho zenu mbona nyinyi wanafki sana jmn dah binadamu bana mjaica embe fatlia tujue nani ivi mnawashwaga kuma zenu au ni nn mnaboa binadamu wallahi ni bora kuishi na wachawi 99 kuliko mnafki 1 ni sumu acheni watu na maisha yao ht km akitembe nae nyie inawauma nn wanafki wakubwa yenu yana washinda pye mtabaki ivyo ivyo na unafki wenu wemadangot na k ake fanyeni yenu msiwasikilize ma haters
- 43 mins agolenface2002Jst live ya lyf @wemasepetu n @new_kajala! Mere words cnt break a bone. Jst b true 2 yaself ts ya lyf. Only god can judge u n not m o them....!
- 43 mins agoirenempuyaMuamkee ss kumekucha @bintiandengenye @minalkher_
- 42 mins agomamaaaasss������
- 38 mins agobabyakidadaaaa!!!!!!!!!$ msisikilize maneno maneno potezeeeeeni fanyeni yote yanayowahusu nyie @WEMA AND KAJALA
- 38 mins agomatikibokoyaoMama paula ni kuvimba tu kinyamwezi waoneshe matashtiti yako dadeki watasubiri sana mwaka huu @new_kajala
- 36 mins agowiz_jaykajala hua haongei yeye vitendo tu wanabaki wanajambajamba ukooo..... nhoja nimpelekee vodka yake
- 36 mins agowemasepetu@dougiemasta12 acha tu mamy .... watu wanajua kweli kuudhi ...
- 34 mins agokajala55@wemasepetu hata ukikataa ukwer ndio huooo huyo unae mwita bbf sijui vvu ndio mnafki na kama unachekelea yy kufilwa na clement basi na ww utakuwa mpumbavu yani unazungukwa live huku unajiona ndugu fungua macho ww mchekee ndumi la kuiri siku ukija fungua macho ujue kasha kunyonga @kajala hata ww aseme bado tutakusaga malaya mkubwa ww usojua jibaya natunazo hadi picha za ww na huyo kihondo roho amakweer usilolijua litakusumbua mbona umechelewa sana @wemasepetu skuzote anae kufumbua macho ndie anae kupenda huyo nyapara sio
- 30 mins agoposhmondKama una picha si uweke? @kajala55 stop being a hater... na wewe lazima utakua mtu wa karibu sana na madam. Why open a fake account kama unajiamin? Upuuz mtupu.
- 29 mins agosada08Wapotezeeeni hao malimbukeni wa mjini kazi kuzua..halafu watu wanao penda tukana watu in real life maisha yao hayana mbele wala nyuma hao wanaishi tuu..sasa machungu yao ya maisha wanamalizia kwa wengine,,wat i can say do your things gals dont give a damn shit what people say there jst haters and haters gonna hate as always....PEACE...
- 28 mins agodougiemasta12ok @wemasepetu aina shida
- 28 mins agodougiemasta12@kajala55 ss ww umeshikilia kajala sio rafik wema ndo kampend ss ww roho inakuuma ya nn kama huna bbf si umwambie yule bwanaako awe bbf wako @wemasepetu ujue huyu ajakoma tulia ntamfurahisha hata kama anatembea na clement ss ndo nn embu tupisheni sie na stry zenu za uwongo.....NGOJA NIINGIE MITAANI NILETE HABR KAMILI
- 25 mins agoirenempuyaYupi huyo @onlymeruky
- 21 mins ago89phin@new_kajala luv u jamani
- 17 mins agosifael13Oya ccta wema skendo zo
- 16 mins agomvua_hugnlovAm in my bby @pretty_hawa
- 15 mins agosifael13Ccta wema skendo cishakuwa kama kitu ya kawaida so hujazizoea tuuu! Temana nao bhana we deal na ishu zako, night mbona huwa wana lala my
- 15 mins agokajala55Ww @dougiemasta12 USIJIFANYE UNATETE USHUZI HAPA NA WW @wemasepetu USIJITIE MZUNGUU HII INSHU UNAIJUA A-Z NA KAMA HUIJUI BASI MM NDO NAKUPA SHUA HUYOO MALAYA POLI ANAKUZUNGUKA NA TUKIKAAGA NAE SALOON ANAKUSEMA SANA NA KUKUITA MWENDA WAZIM ANAYATAMANI MAISHA YAKO KIUNAGA UBAGA SEMA NDO HIVYO MUNGU KAMPA FUNGU LA MWISHO
- 13 mins agopretty_hawa@tha
- 13 mins agopretty_hawa@thalyaty wawaache
- 12 mins agokiperetomie nimeishiwa nguvu sio @matikibokoyao @mwatumu37
- 9 mins agosallyta1usiwe unalal sana lol ....... @zerishraj @roseching23
- 7 mins agorithahauleHuyo mtu mchawi anakutafuta madam mpotezee kick huyo hana lolote Huyo clement hana akili kamjua kajala Leo wabongo tufanye job majungu so mtaji mweee bora madam unsvyomfadhil dog wako
- 6 mins agosherry_org@yagger1
- 6 mins agonapitatu@dougiemasta12 za siku master huyu mtu kajala55 mbn km anaforce hii inshu hlf maskini amemkuta wema mzungu mnoo..amekubali wema mzungu ss anatapatapa hii inshu nawashuku watu km watatu hv..mmejaribu kote mmeshindwa sasa mnafoji ili wagombane..ila moja kati ya hawa ni sana tu unampenda kay ila siku hzi anakupotezea ubishe ukatae upo ktk hii group na pia kinawakera vile yupo na madame mnaona anajulikana mno kimekuuma sana kay kuwa ktk tours hz za divaz ...na ww si uombe uwekwe ..hamna jipya kelele tu mara anafirwa ww hufirwi..mara anasagana sawa ni kamchemzo tu km michezo mingine..mara malaya hilo tusi si la kawaida. hlf muwe na akili nyie watu ugomvi wako na kay mtt wake anahusika nn..ebu kuweni na akili muacheni yule malaika
- 4 mins agokajala55@napitatu ITS NOT A MUST EVERY COMMNT YOU SEE THEN YOU SHOULD REPLY SOME OF THEM SHOULD JUST PASS YOU BY.....SO ZIP IT
- 2 mins agoscolaralphaney@neneeblackchyna please wake up nd cme 2 see hw they bother mamy wa wewe... just stay calm jibu la mjinga kukaa kimya thats all , they talk much because they cant be you @ wemasepetu wakuache miaka 800....@wemasepetu @wemasepetu @wemasepetu @wemadaily @wemadaily
- 1 min agorithahauleShida yenu kajala agombane name madam then what u get it mmmmhhh haaaa this is to much wivu tu hapo mmeanza chokochoko zenu Hamna haya mwacheni kajala hapend Maneno anahitaji faraja jamani amewakosea nn mbn binadamu tuna hila zakwapa
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako