06. Ommy Dimpoz
Dimpoz anamiliki Mark x yenye thamani ya zaidi ya milioni 30.
05 . Ney wa Mitego
Ney wa mitego naye anamiliki gari aina ya Mark X yenye dhamani ya shillingi milioni 35.
04 . Wema Sepetu
Wema Sepetu anamiliki gari aina ya
Audi Q7 yenye thamani ya kuanzia milioni 70 kuendelea.
03 . Lady Jaydee
Jay dee anamiliki gari aina ya Range Rover Evoque linalokadiriwa kwenye milioni 65 hadi 72 hivi.
02. Irene Uwoya
Irene Uwoya ana miliki gari aina ya Mercedes Benz S Class 550 Sedan
yenye rangi ya Black metalic ambayo thamani yake inakadiriwa zaidi ya
millioni 153.
01 . Diamond Platnumz
Anamiliki gari aina ya TOYOTA LAND CRUISER V8 200 lenye thamani ya shillingi millioni 245 za kitanzania.
Vibe
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako