A

A

Wakenya wafanya Kufuru,Tazama Ndege hii Mpya ni Hakunaga Afrika Mashariki

clip_image001
Shirika la ndege la Kenya ‘Kenya Airways’ linatarajia kupokea ndege mpya ya Boeing 777-300ER mwezi ujao (October) ikiwa ndio ndege kubwa zaidi ya shirika hilo ambalo pia hufanya safari za kuja Tanzania.

Boeing 777-300ER ina uwezo wa kubeba abiria 400. 

Tazama picha za ndege hiyo ikiwa kiwandani wakati wa inaundwa maalum kabisa kwa ajili ya Kenya Airways
Picha: Nairobi Wire

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako