![](https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash3/t1/1619569_1468098586736961_1065104667_n.jpg)
LINUS
![](https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-frc3/t1/1620451_1468098733403613_1325710261_n.jpg)
Tukio la ajabu limetokea Mbezi mwisho jijini
Dar es salaam kwa Mtume. Peter Rashid Abubakar kijana Linus aliyekuwa
amekufa na kuchukuliwa Msukule wakati wanakwenda Muhimbili kwenye chumba
cha maiti tayari kwa maandalizi ya mazishi watu wakiwa
wamejaa nyumbani kwa marehemu kupitia maombi ya Mtume Peter Rashid
Abubakar ghafla walipigiwa simu kuwa mtoto wenu amepatikana Temeke akiwa
kwa bibi kizee fulani ndipo walipokwenda wakamkuta ni yeye akiwa ni
mzima na aliyekuwa kwenye Chumba cha maiti naye anafanana na kijana wao
Linus ndipo wakamleta kanisani kwa Mtume Rashid akamuombea pamoja na
wazazi wake kuwapatia ulinzi wa kimungu huku wakilia machozi.
CHANZO:MAISHA YA USHINDI BLOG
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako