Eneo ambalo limeharibika kwa kuchimbika na kitu kinachozwaniwa ni mripuko
katika eneo la Mkunazini, na kuleta mtafaruku na tukio hilo la mripuko
katika majira ya mchana, Katika mripuko huo hakuna mtu aliyepata
majadhara na hakuna uharibifu wa majengo katika eneo hilo.
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Mhe. Abdi Mahmoud Mzee akizungumza na Kiongozi wa Kanisa la Mkunazini, Ndg. Nuhu Salanya, na Maofsa
wa JWTZ , katika eneo la tukio na kutoa maelekezo kwa Uongozi wa Kanisa
alipofika katika eneo la tukio kuangalia athari na uharibifu uliotokea
katika eneo hilo wakati wa mripuko huo.
Mkuu
wa Wilaya ya Mjini, Mhe Abdi Mahmoud Mzee akizungumza na Makamanda wa
JWTZ waliofika eneo la tukio kuagalia na kuchunguza tukio hilo la
mripoko katika eneo la Mkunazini jirani la Kanisani.
Maofisa wa JWTZ wakiangalia eneo la tukio lililochimbika kutokana na kitu kinachodhaniwa ni bomu.
PICHA NA ZANZINEWS
PICHA NA ZANZINEWS
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako