Week
end iliyopita Mavoko na Shettah walienda kufanya show Mtwara miongoni
mwa vitu vilivyotokea kwenye hotel waliyolala ni kuhusu kuondoka na
mashuka ya hiyo hotel taarifa hizi anazi-amplify Soud Brown sikiliza
kupitia 87.8 Clouds Fm Mbeya.
Bonyeza play kusikiliza.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako