Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof.
Elisante Olegabriel akiongea na Watumishi wa Wizara naTaasisi zake
katika Kikao cha cha kujadili Fursa mbalimbali kwa Maendeleo ya Wizara
kilichofanyika Jijini Dar es Salaam leo
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Bwana James Kajugusi akitoa
mada katika Kikao cha kujadili Fursa mbalimbali kwa maendeleo ya Wizara
na Taasisi zake kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam
Meneja
Msaidizi wa Mfuko wa Uchangiaji wa Hiari kutoka Mfuko wa Pensheni kwa
Watumishi wa Umma (PSPF) Bi. Matilda Nyallu akitoa mada kwa Watumishi wa
Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya kujiunga na
Mpango wa Uchangiaji kwa Hiara
(Picha zote na Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari)
(Picha zote na Benjamin Sawe wa Wizara ya Habari)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako