A

A

SALAMU ZA VALENTINE KWA WATU WETU WA NGUVU WA HABARI KWANZA MEDIA

Wadau wa HABARI KWANZA MEDIA tutumie picha ya wewe na mpenzi wako yenye ujumbe wa mapenzi kwa mwenzi wako na sisi tutarusha kwenye siku hii maalum kwa wapendanao Duniani siku ya Ijumaa Feb 14, 2014 picha zitakazotumwa hakikisha zinatufikia kabla ya saa 6 usiku 12am siku ya Alhamisi Feb 13, 2014 tutumie kupitia barua pepe mpendwawetu@gmail.com au habarimpasuko@gmail.com 
asante.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako