Mchezo
wa Ligi ya Mbaingwa barani Ulaya uliopigwa jana kati ya Arsenal ya
England dhidi ya mabingwa watetezi, Bayern Munich ya Ujerumani katika
dimba la Emirates jijini London, uligubikwa na kila aina ya vituko
ambavyo kuna baadhi ya mashabiki wanadai kuwa ni sehemu ya mchezo na
wengine wakidai siyo uungwana.Sahau kuhusu kadi nyekundu ya mlinda
mlango wa Arsenal Wojciech Szczesny ambaye anadaiwa pia kuonesha alama
zisizofaa ambazo huenda akaadhibiwa na UEFA
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako