Pichani Leo Mhe. Edward Lowasa akiwa katika Msiba wa Mbunge wa zamani wa
Karatu na Waziri wa zamani Mzee Patrick Qorro. Mhe. Lowassa yuko fiti,Kuna VIJANA Mitandaoni hii leo kwa Utovu wa Nidhamu wamezusha kuwa Mh;Lowassa amelazwa Hospital ya Agakhan Jijini Dsm anaumwa Mahututi.Ukweli ni huu hapa Mzee Lowassa yupo Vizuri kabisa na alikuwa Msibani hii leo na sio huko wanakosema wazushi wengine.Tujitahidi kuheshimu Mitando ya Kijamii na Kuheshimu Viongozi wetu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako