Mmoja wa washitakiwa akionesha ishara ya vidole viwili.
RAIA 11 wa Iran, leo wamepandishwa kizimbani kwenye mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar wakikabiliwa na shitaka la kunaswa na
shehena ya madawa ya kulevya wakiwa kwenye meli. Washitakiwa hao
walisomewa mashitaka yao na Mwendesha Mashitaka wa mahakama hiyo, Hellen
Moshi, mbele Hakimu wa mahakama hiyo, Nyigulila Mwaseba ambapo
hawakutakiwa kujibu chochote mpaka Februari 24 kesi hiyo itakapotajwa
tena.
PICHA : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako