Mtanzania
Elisha Bahunde jina maarufu Eric ambaye siku ya Jumamosi Feb 15, 2014
alipata ajali Jimbo la Indiana iliyopelekea kukatika kwa miguu yote
miwili na mkono wa kulia na baadae kuhamishiwa Jimbo la Maryland kwa
matibabu zaidi kwa sasa yupo University Of Maryland Medical Center
iliyopo 22 S Greene St, Baltimore, MD Ghorofa ya 6 chumba # 8 na
anatumia jina la Elisha Bahunde ama kweli hujafa hujaumbika na Mwenyezi
Mungu ndiye mueza wa kila jambo ebu sikiliza mwenyewe video hiyo hapo
chini na ujionee na picha pia tumekuekea video aliyoshiriki kwenye
Kijiwe cha Ughaibuni ameva shati la njano na amekaa karibu na Ally
Bambino
Rais wa Jumuiya DMV, Bwn. Idd Sandaly akiwa Hospitalini hapo kumjulia hali mgojwa
ENDELEA KUTIZAMA TUKIO HILI KWA KUBOFYA HAPA CHINI
Abdi Makeo amkimjulia hali Elisha Bahunde
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.
Said Mwamende akimjulia hali Bwn. Eric huku akilengwa na machozi
Wanajumuiya waliofika kumjulia hali wakiwa hawaamini walichokiona.
Kutoka
kushoto ni Abdi Makeo, Saidi Mwamende, Rais wa DMV Idd Sandaly na Jabir
Jongo wakiwa chamba cha mapumziko baada ya kumaliza kumjulia hali
Elisha Bahunde kwa jina lingine Eric
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako