Baada ya kuona matukio ambayo amekuwa akiyafanya ya uvunjaji sheria the pop teen sensansion Justine Bieber, mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wamarekani, kupiga kura kutaka Bieber arudishwe kwao Canada.
Hatimaye the first lady wa Marekani Michelle Obama afunguka na kutoa ushauri wa bure kwa wazazi wa artist huyo na kusema kama angekuwa ni yeye mzazi wa mtoto huyo basi angejaribu kuwa naye karibu muda wote, na kumshauri kipi kizuri cha kufanya.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako