A

A

LIVE Matokeo Yote ya Uchaguzi wa Udiwani hii leo Nchini Tanzania yanapatikana hapa.

Vyanzo Vyetu Vya Habari vipo Kila Kona Nchi Kukujuza Kile kinachoendelea Muda huu Nchi Tanzania,Matokeo ya Uchaguzi wa Kata Mbalimbai(Uchaguzi Mdogo uliofanyika hii leo 09.02/2014.MATOKEO YOTE TUNAYOWEKA HAPA NI KUTOKA VYANZO MAKINI SANA NA SIO UPOTOSHAJI.

MATOKEO YOTE KUTOKA KATA MBALIMBALI

KUTOKA BAGAMOYO
:
KIBINDU.Matokeo ya jumla:

CCM- kura 1682(75%),CHADEMA-kura 548(25%).

MAGOMENI Matokeo kwa jumla:
CCM 1183, CUF 708, CHADEMA 347.

KUTOKA LINDI NA MTWARA.
Nimezungumza na Mwenyekiti wa CCM Lindi na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Chitanda na sasa amehamia CCM ni kwamba,
CCM imeshinda Kata Zote za Uchaguzi Uliofanyika hii leo.Mchanganuo Unakujia hivi Punde.
NACHINGWEA....
ADC -9
CUF -110
CHADEMA -188
CCM -517
KUTOKA IRINGA MBUNGE WA CHADEMA ANASEMA.

Peter Msigwa
Tumeshindwa kata ya nduli Iringa MJINI , polisi imetumika kwa nguvu kubwa kusaidia CCM ishinde , nimewekwa ndani kwa kosa amabalo sikutenda na Kisha kufikishwa mahakamani, Leo nilikamatwa tena nikazuiliwa masaa mtatu na vijana wangu 25 wapo polisi eti kwa kosa la kwenda kwenye eneo la kata.

KUTOKA KIGOMA JIMBONI KWA ZITTO KABWE,
CHADEMA wamepoteza kata ya MKONGORO Jimboni KWA Zitto Kabwe,Imechukuliwa na CCM(Kata Ilikuwa Inaongozwa na CHADEMA).

KUTOKA MOSHI.
Kata ya Kiboroloni imebakia CHADEMA

KUTOKA KONDOA MATOKEO NI
KONDOA CCM ------------1,296 
CUF---------- 935.
CDM--------29 
NCCR------34
CCM imeshinda 

KUTOKA SOMBETINI JIJINI ARUSHA
 - CHADEMA Imeshinda Kata ya Sombetini kwa 2548 na CCM 2077
KUTOKA RUNGWE MKOANI MBEYA.
CCM Imeshinda kata ya Malindo(Mchanganuo unakujia).Haya matokeo nimeyapata kwa Mwenyekiti wa CCM Rungwe. 

KUTOKA MANYARA KITETO
CCM Imeshinda kata Zote mbili ikiwamo ya Partimbo.Matokeo haya nimeyapata Kutoka kwa Katibu wa Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.

KUTOKA KAHAMA KIBAGWE
CCM Imeshinda Kata ya Kibagwe(kulikuwa na Kata moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA BUNDA
CCM Imeshinda (Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi). 

KUTOKA NJOMBE MJINI'
Chadema Imeshinda Kata(Ilikuwa Moja tu ya Uchaguzi).

KUTOKA LUDEWA
CCM imeshinda,Kulikuwa na Kata Moja ya Uchaguzi 

KUTOKA SANTLYA MBEYA
 Matokeo Rasmi Kata ya SANTILYA-Mbeya Vijijini.
CCM - 1650
CDM - 1154

TAFADHALI REFRESH PAGE KILA BAADA YA DAKIKA 2 AU 5 TUTAKUWA TUMEWEKA UPDATES ZA MATOKEO YA KATA ZINGINE.ASANTE KWA UMOJA WAKO

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako