Habari ya Mjini leo kutoka katika Gazeti
Moja Linasema Linah Sanga Amedungwa Ujauzito na Mdosi mmoja Ajulikanae
kwa Jina Nagar Aneye Ishi Mbezi , amekuwa karibu na Mhindi huyo
anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na
kwamba mimba hiyo imeonekana kumfurahisha sana msanii huyo.
“Huyu Nagar ni mpenzi wake wa muda mrefu na inaonekana hii mimba ameipenda sana. Kila siku anamsifu huyo mpenzi wake,” kilisema chanzo hicho kilichodai kuwa wawili hao wamekuwa wakiambatana pamoja katika sehemu mbalimbali za starehe...
Linah Alitafutwa ili Kujibu Habari Njema Hiyo lakini Alikataa kutoa Ufafanuzi zaidi kuhusu Hilo.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako