Kumekuwa
na kurasa(accounts) mbalimbali zenye jina la Mh Edward Lowassa katika
mitandao ya kijamii Kama vile facebook,Twitter, Instagram nk.Zinaonekana
mmiliki wake ni Mh Edward Lowassa.Ukweli
ni kwamba hizo zote hazimilikiwi na Mh Lowassa.Kwa maana hiyo chochote
kinachoandikwa au kuchapishwa kwenye kurasa hizo hazihusiani kwa namna
yoyote na Mh Lowassa.Hata
hivyo Mh Lowassa anawashukuru wote wenye kumiliki account hizo bila ya
ruhusa yake, kwani anaamini wamesukumwa na mapenzi yao kwake.

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako