Nina nukuu " baby ake mtu @mwasiti limao nasiki HUYO mwanamuziki wenu
wakuitwa mwasiti hazikabi mapenzini na huyu @sammisago, ni ubuyu
tu..wamekaa miaka miwili sasa na zaidi na wakati wa basidei ya huyu kaka
mwaka huu mama wenu wa serebuka alimshushia bonge la pati huyu mr
fridei naiti, hehhehehhehehe halafu wale wanamuziki wa dutigita
wakamwimbia hapi basidei shemej , ubuyu huo huyu nyepesi (zitto kaguswa
hapo) wala hatoki na huyo mwasiti ila babaa sam misago ndo anataka kuoa
kabisa, jamaa kashikwa kashikika......mwisho wa limao
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako