
Hata
siku moja hakuna atakayenishawishi kwamba kura muhimu kupitisha Katiba
iwe ya siri wakati kura ya kupitisha Bajeti inakuwa ya wazi. Kura ya
kupitisha Bajeti linaitwa jina moja moja. Kwenye Katiba iwe hivyo ili
tuwajue waliposimama wajumbe wetu na tuwahoji kwa kura zao. Labda
walioteuliwa na Rais wapige kura za siri. Mimi ningependa watu wa
Bumbuli waijue kura yangu na nikaielezee kwao na niwajibike nayo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako