IRENE UWOYA Hali si Shwari,Yupo Hoi Agakhan
Taarifa
zilizosemwa na rafiki wa karibu wa msanii Irene Uwoya ni kuwa yupo
katika hali mbaya zaidi na kufikia hatua ya kulazwa katika hospitali ya
Agha Khan akisumbuliwa na Malaria.
Get well soon Irene....
CREDIT;Swahilitz
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako