A

A

Huko Instagram,Diva wa Clouds aanika Picha ya Penzi Zitto kwa GK


GK akimbusu Diva katika picha iliyowekwa na Diva mwenyewe kwenye  mtandao wa Istagram leo

Muungano wa Diva na GK ulidadisiwa zaidi baada ya mtangazaji huyo maarufu kuweka picha hii ambapo alimwagia sifa kemkem kinara huyo wa zamani aliyevuma enzi za kundi la East Coast.

Tofauti na picha nyingine alizopiga na Prezoo, Sudi Brown nk. hizi ya GK imehojiwa zaidi kiasi cha kulazimu watu wa karibu na Diva kuhoji iwapo GK anakaribia kutoa mahali.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako