A

A

Hiki ni kitu kingine kinachokuja kutoka kwa Ray C.


rrr
Anaitwa Rehema Chalamila kwenye stage ya muziki tunamjua kama Ray C.
Kitu kikubwa kinachosubiriwa kutoka kwake hivi sasa kazi zake mpya kwenye muziki baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu.
Kitu cha kusubiria sio hicho tu bali Ray C Foundation ni kitu kingine kitakacho kuja kutoka kwa Ray C.
Ameshare ujio wa foundation hii kwenye ukurasa wake wa instagram na kudokeza kwa maneno “Coming soon stay tuned!!!!!” japokuwa hakuweka wazi kazi ambayo itafanywa na foundation hiyo.
ray crrrrrrrrrrrrrrrrr

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako