Hiki ndicho kinachoendelea kwa Diva na Crazy Gk,sikiliza kupitia You heard ya leo.
Hizi
ni story za mastar mbalimbali ambazo zinakua ni Gosip,hii ya leo
inawahusu King Crazy Gk toka East Coast Team na Diva sikiliza ni kitu
gani kinawahusu kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza.
Bonyeza play kusikiliza.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako