Meneja wa Rwanda Air, Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun akitoa mada wakati
wa semina kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika
jijini Dar es Salaam.
Meneja Mauzo wa Rwanda Air, Dhruv Parmar akitoa mada wakati wa semina
kwa ajili ya mawakala wa mashirika ya ndege iliyofanyika jijini Dar es
Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Five Star Tours, Harry Pietersen
(kulia), akimkabidhi cheti, mshauri wa kampuni ya uwakala wa ndege ya
Safeline Osbert Barongo baada ya kushika nafasi ya tatu kwa kutoa
huduma bora wakati semina iliyoandaliwa na Rwanda Air kwa ajili ya
mawakala wake jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Rwanda Air
Kanda ya Kusini, Hafeez Balogun.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako