Wafanyabiashara katika viunga vya Kariakoo, Wilaya ya Ilala wamegoma
kufungua maduka leo ikiwa ni mara ya pili katika kipindi cha mwezi
mmoja.
Sababu za mgomo huo ni kupinga amri ya Seriakali kuhusu matumizi ya mashine za kielectronic (EFD). Kupitia Redio kunadaiwa Migomo ya namna hiyo imeripotiwa katika miji ya Musoma, Mwanza, Iringa, Mbeya nk(nchi Nzima). Migomo ya namna hii inahatarisha uchumi wa nchi ambao uko katika kipindi kigumu kuliko muda wowote katika mwongo huu.
Tutaendelea Kuwajuza

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako