Ingawa bado hakujatangazwa maafa yoyote mpaka sasa,lakini kwa uchache
hii ndo
hali ilivyo mitaa mbalimbali ya hapa 88.5 Dar es salaam baada
ya mvua ya asubuhi ya leo February 16,Mvua hii imenyesha sehemu kubwa
sana ya jiji na kutoa usumbufu kwa baadhi ya watumiaji wa barabara za
kwenda mjini.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako