Kuhusu
Suala la mashine za Efd bado linazidi kuchukua headline,taarifa
ikufikie kuwa jana February 12 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mh.Mizengo Pinda alikutana na viongozi wa Jumuiya ya
wafanyabiashara Tanzania ambapo walikaa na kuzungumzia suala la Migomo
hiyo.
Bonyeza play kusikiliza alichokisema Makamo huyo Mwenyekiti.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako