Tangu jana usiku kuna picha ilikua
inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa
zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz
anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo,
wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa
Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni
kumdhalilisha msanii huyo
MSIKILIZE HAPA OSTAZ JUMA AKIFUNGUKA:
MSIKILIZE HAPA OSTAZ JUMA AKIFUNGUKA:
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako