Hii ndiyo Picha aliyo Post Salama katika twitter na Kuandika Congrats To Arsenal..
ni baada ya Mechi ya Arsenal
vs Liverpool, Ni game iliyokua na mikikimikiki ya maana kwenye hizi
timu mbili ambapo alieanza kuona goli la mwenzake ni Arsenal kupitia kwa
Chamberlain ndani ya dakika 20 za mwanzo.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako