JUZI ilikuwa Valentines Day na msanii
kutoka Bongo Ally Kiba alikuwa anashow pande za Muscat na show aliyopiga
unaambiwa haijawahi tokea kwa msanii yoyote aliyeenda kufunika kama
Ally Kiba jana. Kila wimbo aliokuwa akiuimba watu walikuwa wanashangilia
na unaambiwa ilikuwa ni Live Band tu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako