Watu
wanaendelea kuibiwa na wananilalamikia mimi, ndugu zangu wapendwa
kuweni makini sana, Mimi sina account yoyote inayotoa mikopo facebook...
Kuweni makini, kuweni makini. Narudia tena.
Nawashauri mwende CRDB Bank mkafungue account kama mnataka mikopo/ Bank ndio huwa zinatoa mikopo sio mimi.. Watu ni wezi sana wanatumia majina ya watu kujipatia pesa kwa ulaghai!!!!
Na nyie ndugu zangu mnaoibiwa, hivi tangu lini mikopo ikatolewa facebook???? Nilishaandika zaidi ya mara 3 kuwa sitoi mikopo mi natoa nyimbo na videos tuuu, lakini bado tu naendelea kupewa lawama kuwa nimewaibia watu, Jamaniiii eeeeeh!!
Naskia hiyo page ya Jide wa uongo imetengeneza mpaka tangazo la kwenye TV, humu mjini kuna mambo mengi sana, watu wana njaa zao watafanya kila njia wapate pesa.
Akili kichwani mwako

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako