Mratibu wa matembezi ya hiyari kwamiguu yajulikanayo kwa jina la , Matembezi ya Nchi Yangu Wajibu Wangu Utaifa Kwnza”Bw,
Matukio Chuma (katikati), akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa
matembezi hayo kabla yakuanza matembezi kueleke Mkoa wa Morogoro
yalionzia Mbezi jijini Dar es Salaam leo Januariy 11- 2014 ya kilometa 200 yatakayochua siku kumi
(kushoto), Mwanakikundi kutoka Umoja wa vijana,Bw Athumani Ali ambae
anawakilisha wanachama wenzie wapatao 80 (kulia), Mwanafunzi kutoka
Shule ya St Joseph Univerty Bw Joseph Serengeta akiwakilisha wanafunzi
wa shule hiyo. Kwa mujibu
wa muandaaji Bw, Matukio Chuma lengo la matembezi hayo yamelenga kuenzi
mchango mkubwa na kuthamini kujitoa mhanga kwa waanzilishi wa utaifa
wetu, (Hayati) Mwl Julius Kambarage Nyerere, Abeid Amani Karume, Edward
Moringe Sokoine na wengineo ambao walisimama kidete na leo tukawa na
taifa likaitwa Tanzania.PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
Hapa safari imepambamba moto Dar mpaka Moro eneo la Kibaha.
Mratibu wa matembezi ya hiyari Matukio Chuma.
Joseph Serengeta mshiriki.
Athumani Ali mshiriki.