HII ni habari mbaya kwa taifa lenye sifa ya amani Tanzaia, Ila watu wake wageuka wanya na kuchukua maamuzi mikononi pasipo kufata sheria.
Leo
asubuhi Bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya
njia panda mnadani Singida baada ya Bus hilo kugonga pikipiki yani
bodaboda na kusababisha vifo vya abiria
4 waliokuwa kwenye pikipiki, Ambao ilisemekana kuwa wote wanatokea
familia moja ambapo wawili walifariki papo hapo na mmoja njiani na
aliyefia hospitali inasemekana ni baba.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako